Mr mussa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 296
- 456
Habari!
Naitwa Musa, umri ni miaka 24 ni graduate wa information technology katika level ya degree. biashara inahitaji wateja ili kuweza kupata faida na kuendesha biashara, Hivyo basi kama kuna kampuni au biashara binafsi inahitaji kuweza kuongeza mauzo yake kwa kupata wateja basi tunaweza kuwasiiana.
Nina uzoefu kiasi wa kufanya mauzo hivyo basi nipo tayali kuhakikisha nakuletea wateje na kuweza kuuza bidhaa au huduma husika.
Kama kuna mtu ataweza kuniunganisha na kampuni au biashara binafsi itakuwa ni vyema Zaidi.
Mawasiiano 0743451357 call/ SMS/ WhatsApp
Location Dar es salaam