Natafuta kazi ya Mtekinolojia Maabara, nipo Kahama

Natafuta kazi ya Mtekinolojia Maabara, nipo Kahama

Mr kenice

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
4,260
Reaction score
7,033
Wasifu:
  • Mimi kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa nipo kahama.
  • Ni mtaalam wa maabara ngazi ya Diploma na nimehitimu masomo mwaka 2020,
Ni mtaalam nilie sajiliwa na Baraza la maabara Tanzanian.

Nyaraka nilizonazo;
  • Form IV certificate
  • Nacte certificate
  • Nacte Transcript
  • Cheti Cha leseni kutoka HLPC.
  • Na vingine vya kila siku kama birth certificate, NIN.
Mpaka sasa nmejitolea katika hospitali ya serikali, na ninauzoefu wa kazi kwani nmejitolea vituo mbalimbali .

Lengo lakutafuta KAZI kwanza ni maslahi, pili kubadilisha mazngira, tatu kutanua wigo wa kufahamiana, na mwisho ni kujifunza baadhi ya VITU ama mashine za juu zaid ambazo sijawah zitumia.

Asanteh sana kwa anae hitaji au anaejua wapi mtaalamu anahitajika bas aje PM kwa maelezo zaidi na zaidi
Kama pia kuna uhitaji wa KUJITOLEA am ready but kwa masilahi kiasi chake

Mr kenice
 
lakini mbona Tamisemi inawapa sana kipaumbele mliojitolea? si ajira zimetoka juzi subiri matokeo kaka
 
lakini mbona Tamisemi inawapa sana kipaumbele mliojitolea? si ajira zimetoka juzi subiri matokeo kaka
Je hayo maombi yanaweza kufanya ubweteke usitafte kaz tena, KUJITOLEA ni RAi ya mtu na pengne wasiangalie hata hicho kpengele.
 
Back
Top Bottom