Natafuta kazi ya nesi

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
19,697
Reaction score
15,497
hello wanajamvi!
nina ndugu yangu amemaliza kozi ya nursing mwaka mmoja,
kwa sasa yuko dar anajaribu kutafuta pa kujishikiza!please mwenye
kujua wapi anaweza kupata kazi ya hiyo qualification yake msaada wako unahitajika!
 
Nenda jukwaa la Nafasi za kazi kuna kazi za mambo ya afya zimemwagika....
 
Kuna kazi kibao zimetangazwa na Benjamini Mkapa Aids Foundation ni za kumwaga. Sakua humu humu jamvini utazipata
 
Nje ya dar kazi za kumwaga tuu!halafu sina uhakika kama huyo ndugu yako ni nurse au asst. nurse au medical attendant,nurse hakosi kazi bana usizuge watu hapa.
 
Mkoani kazi zipo ila dar inaweza sumbua kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…