hello wanajamvi!
nina ndugu yangu amemaliza kozi ya nursing mwaka mmoja,
kwa sasa yuko dar anajaribu kutafuta pa kujishikiza!please mwenye
kujua wapi anaweza kupata kazi ya hiyo qualification yake msaada wako unahitajika!
Nje ya dar kazi za kumwaga tuu!halafu sina uhakika kama huyo ndugu yako ni nurse au asst. nurse au medical attendant,nurse hakosi kazi bana usizuge watu hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.