Natafuta kazi ya Part time

Natafuta kazi ya Part time

longolongo

Member
Joined
Mar 19, 2010
Posts
11
Reaction score
0
Ninatafuta kazi ya part time kwenye hotel.Mimi nina uzoefu wa miaka mingi katika fani ya front office ila kwa sasa ninafanya kwenye company ya tours.Nataka kufanya kazi ya hoteli kwa part time after my working hours in the office.Niko Arusha
 
Mtu mwenyewe longolongo nani anataka longolongo kwenye hotel yake. We mtu pori bakia porini huko huko
 
@ Lutala...Kwani jina ndo linafanya kazi????and for ur information siko porini ..Iam very much in town and switched on...kama huna kazi ya ku offer just shut up...
 
wana jf mbona mbona huyu mwenzetu anataka kumkwaza huyu mtu anaetaka part time? ni bora umwambie huna nafasi kuliko kumjibu hovyo si utu namna hiyo tuwe wastaarabu jamani
 
wana jf mbona mbona huyu mwenzetu anataka kumkwaza huyu mtu anaetaka part time? Ni bora umwambie huna nafasi kuliko kumjibu hovyo si utu namna hiyo tuwe wastaarabu jamani

dinam, watu dizaini hii wapo kibao,ni kuvumilia tu,mi mwanzoni walinipa hedek,ila sasa nimewazoea nawa ignore tu kiaina.
 
Mtu mwenyewe longolongo nani anataka longolongo kwenye hotel yake. We mtu pori bakia porini huko huko

sio ustaarabu mkuu, sa zingine kubaki kimya ni jibu tosha.
OFF TOPIC: Halafu longolongo si unajua jina huaffect tabia na matendo ya mtu na ndio maana wazazi hutafuta majina mazuri kwa watoto wao.
Ingawa lako sio halisi lakini impacts ndio kama hizi ulizoanza kuziona.
 
Mtu mwenyewe longolongo nani anataka longolongo kwenye hotel yake. We mtu pori bakia porini huko huko

we umetokea wapi? unajua kama una frustration zako za maisha si vizuri kuzitolea kwa wenzio. kwanza umejibu hivyo kama nani, maana huwezi hata kumwajiri, tatizo mnakurupuka sana, bora tu mmepata keyboard za kubonyeza.
 
Jamani mi naona Lutala ana mtania tu Longolongo, mbona kawaida tu!!
 
Back
Top Bottom