Natafuta kazi ya quality control(mkemia) au lab technician

Tommy 911

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
644
Reaction score
582
Habarini wakuu. Mimi ni quality control lab technician nina bsc chemistry pia Nina uzoefu wa mwaka na miezi minne katika steel industry. Natafuta kazi viwandani,migodini kote nafit. Ukinisaidia kuna pesa ya maji. Asanteni
 
Watoto wa CNMS
Ile collage inaongoza kwa kuzalisha majobless Tz.

Anyway kila la kheri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…