Natafuta kazi ya safety officer

Natafuta kazi ya safety officer

Mabodya1

New Member
Joined
Oct 28, 2020
Posts
1
Reaction score
3
Habari wana jamii,
Naomba kwa yeyeto mwenye connection ya kazi ya Health, Safety and Environment (HSE) popote aniunganishe.

Nina Degree ya Environmental Planning and Management pia nina NOSHC I, OHS Risk Assessment zote kutoka OSHA pamoja na Computer Certificate.

Kwa yeyeto anayeweza kunisaidia naomba msaada mtaani kugumu.
 
Utapata
 
Back
Top Bottom