Habar za wakati huu,
Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30.
Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu na kazi za Stationery.
Nauhitaji wa kazi yoyote ya halali endapo pia itapatikana.
Mawasiliano 0621540474
Asanteni
Uaminifu ni Mtaji