Natafuta kazi ya Tourist Assistant

Natafuta kazi ya Tourist Assistant

Tourists assistant ndio nasikia kwako jitahidi uwe tour guide assitant ukiwa na leseni tayari ni kazi tosha. Baada ya hapo unajiongeza kujifunza driving unapata leseni kisha jifunze lugha mpya rahisi kama spanish au french Chinese na Japanese ni ngumu kiasi. Ukimaliza tafuta passport ya kusafiria. Tayari kwa safari ya kujiajiri
 
Back
Top Bottom