Natafuta Kazi ya translation (Kichina)

Natafuta Kazi ya translation (Kichina)

Status
Not open for further replies.
Joined
Jun 4, 2015
Posts
38
Reaction score
26
Ndugu zangu, kwanza poleni na kazi... Naomba mwenye contact au anayejua kampuni inayotafuta mkalimani wa Kichina, naomba unitafute WhatsApp +861572153760.
 
Last edited:
Kweli ww uanajua kichina kwa mwandiko wako tu
 
Nend viwanda vya wachina vilivyo karibu nawe mkuu

Na kuna hawa huwa wanaendaga kuchukua ela kwenye mabonanza huwaga hawajui kiswahili, nenda uwaombe wakuajiri.
 
Nakupa fursa mbili zilizopo Shule ya Sekondari Sakana Iliyopo Kiluvya, Gogoni, jijini Dar Es Salaam.

1. Kama wewe ni Mwalimu wa Fizikia na Hesabu (Basic Mathematics) karibu ufanye Interview, ya masomo hayo mawili, anahitajika Mwalimu wa masomo hayo as soon as Possible.

2. Kuna nafasi za kuhamia kidato cha kwanza na cha tatu kuanzia mwaka huu 2022, endapo utaleta Mwanafunzi kujiandikisha, utapewa kiasi cha Shilingi 100,000/= hii ni shule ya kwanza kuweka fursa hii kwa mtu yeyote, bila kujuana. The more the heads, the more the money.....

Shule pia itaendelea kupokea wanafunzi wa kidato cha pili mwaka 2023' mapema mwisho wa Mwaka huu.

Kwa mawasiliano;
0743123946 WhatsApp
0684436954 Call.

Karibu.
 
Mkuu nenda kwenye kampuni za ujenzi za kichina (wana miradi mingi) ila cha zaidi kma una leseni ya udereva itakupush kiasi flan cuz utakua dereva ila unajua kichina pia, ila translator as translator kuna ukakasi kwasabab wachina wenyew baili sana na ela zao so ni muhimu kuwa extra mile ili kujiongezea upotential
 
Mnaomshauri wote aende kwenye makampuni ya kichina nadhani hamuwafahamu wachina vizuri.. Akifuata huo ushauri hatapata ama ataishia kupewa mshahara mbuzi
Kazi za translation kwa wachina ni lazima upelekwe na mtu ..kwa njia hiyo ni rahisi kwakuwa tayari una address

Keds Kibaha kwasasa sidhani na kama ni beginner unaweza kukimbia mwenyewe interview ya kwanza tuu... Sehemu nzuri ya kuanzia ni mikoani kunakokimbiwa na wakalimani wengi lakini ajitahidi apate wa kumshika mkono..
 
我家在达累斯萨拉姆可是我暂时还在国外但马上回国 您知不知道任何公司需要翻译员?如果知道的话,请和我私聊,谢谢。
这些帖子时不时地发生……我相信到八月会有很多
回到 DAR 时联系
 
现在你不会教学生你伟大的魔法故事,顺便说一句,祝你好运[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mshana mbali na ulozi kumbe unajua kichna.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom