Natafuta kazi ya ualimu au yoyote

Natafuta kazi ya ualimu au yoyote

Dullah694

Member
Joined
Jan 20, 2021
Posts
32
Reaction score
58
Kwa majina naitwa Abdallah nna miaka 23 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi ya ualimu shule binafsi au hata Hotelini, Kiwandani nipo tayari nipo Dodoma mawasiliano 0657897884
 
Achana na hiyo kazi njoo nikupeleke kiwandani cha wachina ukapige pesa
 
Nikuunganishe kwa babu ukafanye Kazi kwenye mashamba ya zabibu 😁😁ila mziki wake ni noma
 
Screenshot_20230930-205234.png
 
Uko Kwa wachina utaratibu upoje nipo Arusha 0758291996
 
Bado kwa umri huo huaminiki bado, angalau ungekuwa na 27 hivi ningekuunganisha na jamaa.
 
Kwa majina naitwa Abdallah nna miaka 23 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi ya ualimu shule binafsi au hata Hotelini, Kiwandani nipo tayari nipo Dodoma mawasiliano 0657897884
Tunahitaji mfanyakazi kwenye kituo cha mafinzo ya ufundi stadi-Moshi Institute of Technology:

Awe na uwezo wa kufundisha English,Secretarial,Enterprenuarship ,communication.,....

Uwezo wa kutimua na muelekeza kweney program za computer nao ni muhimu

Kama upo tayari tuma cv na vyteti vyako kwa email mitcomputingtz@gmail.com au whatsap 0717157640

Kila kitu maelewano na unaaza kazi soon
 
Back
Top Bottom