Natafuta kazi ya ualimu masomo ya English na Geography

Palacentamol

Member
Joined
Jan 26, 2024
Posts
7
Reaction score
12
Asalaaam alekyum.
Apewe sifa yesu.
Mimi ni mwalimu wa masomo la Kiingereza na Geography. Ninauzoefu wa kazi miaka 6. Ninauwezo mkubwa wa kumuongoza mwanafunzi vizuri mpaka akaelewa pasipo kukariri.
Asante
 
Umefundisha shule gani
 
Asalaaam alekyum.
Apewe sifa yesu.
Mimi ni mwalimu wa masomo la Kiingereza na Geography. Ninauzoefu wa kazi miaka 6. Ninauwezo mkubwa wa kumuongoza mwanafunzi vizuri mpaka akaelewa pasipo kukariri.
Asante
Uko wapi? Kwanini na uzuri unaojinasibu huna kazi? Kwanini mwajiri wako karuhusu uondoke?
 
Asalaaam alekyum.
Apewe sifa yesu.
Mimi ni mwalimu wa masomo la Kiingereza na Geography. Ninauzoefu wa kazi miaka 6. Ninauwezo mkubwa wa kumuongoza mwanafunzi vizuri mpaka akaelewa pasipo kukariri.
Asante
Si ndio nyie nimesikia kazi zenu zimetangazwa!? Au we hupendi Mambo ya Halmashauri?
 
Back
Top Bottom