Palacentamol
Member
- Jan 26, 2024
- 7
- 12
Umefundisha shule ganiAsalaaam alekyum.
Apewe sifa yesu.
Mimi ni mwalimu wa masomo la Kiingereza na Geography. Ninauzoefu wa kazi miaka 6. Ninauwezo mkubwa wa kumuongoza mwanafunzi vizuri mpaka akaelewa pasipo kukariri.
Asante
Uko wapi? Kwanini na uzuri unaojinasibu huna kazi? Kwanini mwajiri wako karuhusu uondoke?Asalaaam alekyum.
Apewe sifa yesu.
Mimi ni mwalimu wa masomo la Kiingereza na Geography. Ninauzoefu wa kazi miaka 6. Ninauwezo mkubwa wa kumuongoza mwanafunzi vizuri mpaka akaelewa pasipo kukariri.
Asante
Cosmos Academy tangu 2018 na Cosmos sec. Kuanzia 2021Umefundisha shule gani
Si ndio nyie nimesikia kazi zenu zimetangazwa!? Au we hupendi Mambo ya Halmashauri?Asalaaam alekyum.