Natafuta kazi ya Ualimu masomo ya Sayansi

Natafuta kazi ya Ualimu masomo ya Sayansi

ukhty zuu

New Member
Joined
Feb 1, 2026
Posts
3
Reaction score
11
Habari

Mimi ni kijana wa miaka 27 nimehitimu shahada ya kwanza mwaka 2023, natafuta shule ya kufundisha kwa masomo ya mathematics, physics, biology na chemistry kwa primary, ordinary level, na advance pia

Niko tayari kwa interview muda wowote nitakaohitajika

Ahsante

Mawasiliano; 0635198791
 
Back
Top Bottom