Natafuta kazi ya ualimu wa English Medium

Nickson Swai

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
597
Reaction score
549
Habari naitwa Elifuraha Lyimo nipo Arusha natafuta kazi ya ualimu wa English Medium pia uzoefu usiopungua miaka 4 nafundisha Mathematics,History,Sst,Civic and Moral,Kiswahili kwa anayejua mahali kuna nafasi naomba anisaidie 0714954609 au Email:elifurahalyimo98@gmail.com
 
Kiongozi mbona jina lako halifanani na cheti cha kuzariwa ....
 
Hahahahah ndo biashara zenyewe hizo .....
nafasi za walimu wa sekondari ni 50. Kila mwombaji anatakiwa kutuma elfu 20 za kunuanua fomu. Naona walimu watalipwa na makusanyo ya fomu tu
 
na
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…