Natafuta kazi ya Ualimu

Natafuta kazi ya Ualimu

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,571
Reaction score
3,448
πŸ‘¨β€πŸ«πŸ‘¨β€πŸ«πŸ‘¨β€πŸ«πŸ‘¨β€πŸ«πŸ‘¨β€πŸ«πŸ‘¨β€πŸ«πŸ‘¨β€πŸ«πŸ‘¨β€πŸ«
NATAFUTA KAZI YA UALIMU

Mimi ni mwalimu mwenye shahada ya elimu, nina uzoefu wa miaka minne wa kufundisha shule za msingi na sekondari. Ninafundisha masomo ya Kiingereza, Historia ya Tanzania, CME, Kiswahili, Jiografia na Mazingira, na Elimu ya Jamii kwa shule za msingi.

Kwa shule za sekondari, ninafundisha masomo ya Historia, Jiografia na Elimu ya Raia. Nina ujuzi wa kufundisha kwa njia mbalimbali, kutumia vifaa vya kisasa, na kushirikiana na wanafunzi, wazazi, na wenzangu. Ninafurahia kazi yangu na nina hamu ya kuchangia katika maendeleo ya elimu nchini.

Natafuta kazi ya ualimu katika shule yoyote iliyo na nafasi ya wazi.

Ikiwa una nia ya kuniajiri, tafadhali wasiliana nami kupitia namba yangu ya simu 0750588928.

Asante.
 
Elimu yako?
 
Back
Top Bottom