cadnopoints
Member
- Sep 14, 2019
- 65
- 59
Kazi ulizo hariri ziko wapi?Habari wakuu..!
Natafuta kazi ya uandishi/uhariri wa kazi mbalimbali za maandishi kwa lugha ya Kiswahili na kiingereza kama vile makala, hotuba n.k
Kwa yeyote mwenye mchongo tafadhali tuwasiliane.
-Nina utaalam na masuala ya computer (Word, PowerPoint, SPSS na Excel including VBA n.k)
-Ni mtunzi wa kazi za sanaa (hadithi za kufikirika n.k)
Niko Dar es salaam.
Nawasilisha.
leta kazi kisha utafanya assessmentKazi ulizo hariri ziko wapi?
Huna jambo.unataka kujifunza kupitia mimi?leta kazi kisha utafanya assessment
Omba kazi TBCHabari wakuu..!
Natafuta kazi ya uandishi/uhariri wa kazi mbalimbali za maandishi kwa lugha ya Kiswahili na kiingereza kama vile makala, hotuba n.k
Kwa yeyote mwenye mchongo tafadhali tuwasiliane.
-Nina utaalam na masuala ya computer (Word, PowerPoint, SPSS na Excel including VBA n.k)
-Ni mtunzi wa kazi za sanaa (hadithi za kufikirika n.k)
Niko Dar es salaam.
Nawasilisha.
sawaHuna jambo.unataka kujifunza kupitia mimi?