Natafuta kazi ya udereva mkoa wa Ruvuma

Natafuta kazi ya udereva mkoa wa Ruvuma

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
238
Reaction score
954
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya kupata fursa,Asante na Mungu awabariki.
 
Habari,
Karibu chianteng limited ni wauzaji wa Truck za HOWO Kwa Bei Nzuri

Pia tunazo SPARE PARTS ZOTE ZA HOWO,

Pia tuna mafundi waliobobea katika utengenezaji wa truck za HOWO.

Karibu sana

📍Tupo Kurasini opposite na Chuo Cha Diplomasia

☎️0748 270 719
Howo-371-dump-truck-for-sale-1-100885.jpg
IMG-20240613-WA0003.jpg
IMG-20240613-WA0005.jpg
 
Tata wewe ni mbupu kweli, mwenzio anatafuta kazi, ww unampelekea matangazo
Kwani Kuna ubaya hapo..? Je akitokea mtu anahitaji kununua Gari pia anahitaji na dereva Kwa wakati mmoja, hapo si nakuwa nimemrahisishia.

Pia umekuwa mkubwa Sasa usipende kuwasilisha hoja Kwa njia ya matusi
Be civilized people
 
Tusi liko wapi mkuu
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya kupata fursa,Asante na Mungu awabariki.
Mrejesho
 
Back
Top Bottom