cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Tata wewe ni mbupu kweli, mwenzio anatafuta kazi, ww unampelekea matangazoHabari,
Karibu chianteng limited ni wauzaji wa Truck za HOWO Kwa Bei Nzuri
Pia tunazo SPARE PARTS ZOTE ZA HOWO,
Pia tuna mafundi waliobobea katika utengenezaji wa truck za HOWO.
Karibu sana
📍Tupo Kurasini opposite na Chuo Cha Diplomasia
☎️0748 270 719View attachment 3023997View attachment 3023998View attachment 3023999
Kwani Kuna ubaya hapo..? Je akitokea mtu anahitaji kununua Gari pia anahitaji na dereva Kwa wakati mmoja, hapo si nakuwa nimemrahisishia.Tata wewe ni mbupu kweli, mwenzio anatafuta kazi, ww unampelekea matangazo
Tusi liko wapi mkuuKwani Kuna ubaya hapo..? Je akitokea mtu anahitaji kununua Gari pia anahitaji na dereva Kwa wakati mmoja, hapo si nakuwa nimemrahisishia.
Pia umekuwa mkubwa Sasa usipende kuwasilisha hoja Kwa njia ya matusi
Be civilized people
Amani itawale ndugu yanguTusi liko wapi mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣Tata wewe ni mbupu kweli, mwenzio anatafuta kazi, ww unampelekea matangazo
Mungu akutunze sana tataAmani itawale ndugu yangu
[emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tata wewe ni mbupu kweli, mwenzio anatafuta kazi, ww unampelekea matangazo
MrejeshoKama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya kupata fursa,Asante na Mungu awabariki.