Trubarg JF-Expert Member Joined Jan 8, 2020 Posts 4,388 Reaction score 7,223 Jul 5, 2020 #2 Hizo account utafanya nayo kazi vp wakati Gari ulilotumia kuzidungua hauna tena
F fbullet Member Joined Mar 25, 2013 Posts 65 Reaction score 64 Jul 6, 2020 Thread starter #3 Trubarg said: Hizo account utafanya nayo kazi vp wakati Gari ulilotumia kuzidungua hauna tena Click to expand... Kuna kuupload vibali vya gari unayotumia
Trubarg said: Hizo account utafanya nayo kazi vp wakati Gari ulilotumia kuzidungua hauna tena Click to expand... Kuna kuupload vibali vya gari unayotumia
M Mbikiboy Member Joined Feb 15, 2019 Posts 89 Reaction score 86 Jul 6, 2020 #4 Gari ulilotumia mwanzo,nini kimetokea?
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,342 Jul 6, 2020 #5 Mbikiboy said: Gari ulilotumia mwanzo,nini kimetokea? Click to expand... Majibu unitagi tafadhali
F fbullet Member Joined Mar 25, 2013 Posts 65 Reaction score 64 Jul 7, 2020 Thread starter #6 Mbikiboy said: Gari ulilotumia mwanzo,nini kimetokea? Click to expand... Mwenye gari alikua anamatatizo akalazimika kuuza gari ili apate pesa ya haraka kusolve masuala yake
Mbikiboy said: Gari ulilotumia mwanzo,nini kimetokea? Click to expand... Mwenye gari alikua anamatatizo akalazimika kuuza gari ili apate pesa ya haraka kusolve masuala yake
F fbullet Member Joined Mar 25, 2013 Posts 65 Reaction score 64 Jul 7, 2020 Thread starter #7 jogi said: Majibu unitagi tafadhali Click to expand... Emerergency ilimkuta mwenye gari akawa anahtaj pesa ya haraka kusolve hayo masuala yake so ikabidi auze gari
jogi said: Majibu unitagi tafadhali Click to expand... Emerergency ilimkuta mwenye gari akawa anahtaj pesa ya haraka kusolve hayo masuala yake so ikabidi auze gari