Natafuta kazi ya udereva nina leseni class D,

Natafuta kazi ya udereva nina leseni class D,

kwel hali mbaya ww una A na D pambana sana mm nmemalza izo na chet na Nit juu nko bench
JPEG_20220530_162828_4579941020081404317.jpg
 
Hii leseni ni ya kimchongo hauwezi ukawa na leseni yenyewe ambayo imepitia hatua zote za ukuaji afu madaraja yote yakatolewa tarehe moja
Labda utuelezee ulivyoipata?
unajua nimeanza kumilk lesen mwaka gan? na lesen ikiisha kwa hii sheria mpya ya kuongeza miaka kutoka 3 mpaka 5 unaifaham au ushaenda kufatilia lesen ukajua utaratbu uko vp kwa sasa na kngne cha kukusaidia NIT hawapokei wanafunz wa udereva ila wanapokea madereva il ukapate profesional corse unayoihtaj kama n Vip au psv au hgv n.k
 
Kwa ground mambo magumu.. Watu tuna ma vyetii[emoji23][emoji23] ila hatujakata tamaa.. Bado tunapambana
Polish_20220531_212049676.jpg
 
Aixee kk haujachangamka e na c zote unazo ndo zpo sokoni hizo af huna ajira umepooza mno kk
 
kwel hali mbaya ww una A na D pambana sana mm nmemalza izo na chet na Nit juu nko bench View attachment 2244533
Mkuu itakua umekosa mtu wa kukupambania tuu labda au huna uelewa na mambo ya application au hufuatilii. Kwa qualifications zako unapaswa kua na ajira tena ya serikali. Kuna kazi za halmashauri zinatangazwa daily wanataka madereva na huwa ni kuanzia watu 50 ni ajira nyingi mnoo, hadi mahospital wakitoa ajira kunakua na madereva, vyuo kunalua na madereva, makampuni binafsi, wizara.?????? Mkuu tafuta namna ya kua karibu na source za ajira jasa matangazo au wewe binafsi ujiunge magroup kama ajiraleo hua haijawahi pita wiki lazma uone ajira zaidi ya 20 za madereva. Mwisho jiunge ajira Portal tengeneza vzur account yako ukikosa labda ni usahili unasumbua ila sio vyeti mkuu.
 
Back
Top Bottom