Natafuta kazi ya udereva wa mabus au roli semi tella

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
Nina uzoefu wa miaka 8 nimeendesha katika nchi tatu ikiwemo rwanda, kenya,pamoja na south Afrika

Nina mepitia veta na nina cheti, nina leseni class E, C, B,D

Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote kwa malipo yoyote sina tamaa

Gari ambazo nazimudu pamoja na scania,schman, howo,faw, na zingine za mtindo huo

Pia kama una connection ya kampuni ukiniunganisha nitatoa pesa ya shukurani kama laki tatu kamili

Ni mzoefu wa kubeba makaa ya mawe pamoja na tank za mafuta

Naombeni msaada wenu kwa sasa napatikana mbeya namba yangu ya simu 0621310646 🙏🙏🙏
 
Mungu atakujalia utapata kazi Bro.

Unaonekana wewe ni Mtu mungwana sana na mkweli
 
Nipe details kidogo kuhusu hizo page zao
Nimekutumia link uko ndiyo chimbo la madereva wote ukija huko huwezi kikosa ramani
Ila kwa asas kuna matangazo ambayo huwa yanatumwa kwenye magroup ya madereva
 
Back
Top Bottom