Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo na makubwa aina yoyote Nina leseni C1, C2, C3, D, E

Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo na makubwa aina yoyote Nina leseni C1, C2, C3, D, E

Hans wilson

New Member
Joined
Nov 26, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo na makubwa aina yoyote Nina leseni C1,C2,C3,D,E NA NAUJUA UFUNDI VIZURI NA NIMESOMA VETA NANIMEMALIZA KIDATO CHA NNE NANIMEFAULU.

KWA MAWASILIANO (0682600567).

BARUA PEPE , hanswilson222@gmail.com.
 
kuna kampuni inaitwa Gardaworld ipo mikocheni b...kituo kinaitwa kwa mwinyi kampuni hiyo ni ya ulinzi...inahitaji madereva nenda ukiwa na leseni yako orginal, cheti cha shule kuanzia msingi hadi sekondary...vyeti orginal.

Leseni yako halali kabisa bila kusahau cheti cha kuzaliwa pamoja na namba ya nida au kitambulisho cha nida...kama unavyo vitu hivyo jumatatu fanya uende ukafanye interview...wataarifu na madereva wengine wenye uhitaji
 
Back
Top Bottom