kimbunga jnr
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 260
- 59
Nina madaraja ya Ya BDE ila nitaongeza madaraja yote ya C baada kupewa cheti nit napendelea malori au tours mkuu psv bado cjaongeza lesenBe more specific....
Upo mkoa gani...
Licence yako ni class gani?
Unaomba kazi ya udereva wa mabasi ya shule,mabasi ya abiria, malori, Magari ya tours, Magari ya viongozi, Au kuwa dereva wa familia, au udereva wa mashine za shambani kama tractor??
Kuwa wazi udereva umeganyika katika nyanja nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo dar mkuuUpo mkoa gani?
Licence yako ni class ipi?