Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya udereva

kimbunga jnr

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
260
Reaction score
59
Nimehudhuria mafunzo katika chuo cha usafirishaji jina langu ni emmanuel mwaijumba
1554270463905.jpeg
20190328_144553.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Be more specific....
Upo mkoa gani...
Licence yako ni class gani?
Unaomba kazi ya udereva wa mabasi ya shule,mabasi ya abiria, malori, Magari ya tours, Magari ya viongozi, Au kuwa dereva wa familia, au udereva wa mashine za shambani kama tractor??

Kuwa wazi udereva umeganyika katika nyanja nyingi

Nina madaraja ya Ya BDE ila nitaongeza madaraja yote ya C baada kupewa cheti nit napendelea malori au tours mkuu psv bado cjaongeza lesen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom