fidelis sanya
New Member
- Oct 10, 2022
- 3
- 0
Naitwa Fidelisi Fredy Sanya Nina umri wa miaka 22 naishi Dar es Salaam nina cheti Cha kidato Cha nne, Nina cheti Cha V.I.P driver kutoka chuo Cha Taifa Cha usafirishaji N.I.T. Pia Nina Namba ya NIDA, LESENI yangu Ina madaraja matano B, D, C1, C3, E.
Namba zangu za simu Ni 0689361565 au 0762615162 nipo tayari kuajiriwa kwenye kampuni au kumuendesha BOSI n.k , hutojutia kuniajiri, uaminifu na kufanya kazi kwa bidii kwangu
Namba zangu za simu Ni 0689361565 au 0762615162 nipo tayari kuajiriwa kwenye kampuni au kumuendesha BOSI n.k , hutojutia kuniajiri, uaminifu na kufanya kazi kwa bidii kwangu