Mr passion JF-Expert Member Joined Nov 1, 2023 Posts 202 Reaction score 282 Nov 23, 2023 #1 Habari, Mimi ni kijana umri miaka 27 mkazi wa Dar es Salaam, natafuta ajira ya udereva wa class A2,D Kwa magari madogo ya biashara ama binafsi. Tupeane ajira ndugu zangu kuukimbia umaskini.
Habari, Mimi ni kijana umri miaka 27 mkazi wa Dar es Salaam, natafuta ajira ya udereva wa class A2,D Kwa magari madogo ya biashara ama binafsi. Tupeane ajira ndugu zangu kuukimbia umaskini.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 24, 2023 #2 Kila la kheri...