Natafuta kazi ya udreva

Natafuta kazi ya udreva

babajayson

New Member
Joined
Jun 7, 2020
Posts
2
Reaction score
3
Ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 32 nina leseni halali iliyohakikiwa na jeshi la police yenye madaraja B, D, CI,C2 naomba mwenye connection anisaidie.

Nina uzoefu wa kuendesha magari madogo na coaster

0765874177
 
I pray for you utapata Kazi nakuombea na naomba ukifanikiwa utoe feedback
 
Back
Top Bottom