Natafuta kazi ya ufundi na nyinginezo

Natafuta kazi ya ufundi na nyinginezo

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
854
Reaction score
1,296
Habarini wanajamiiforum mbele yenu ni kijana wa miaka 24 ninatafuta kazi kwa Sasa nipo dar. Elimu yangu ni NTA level 4 in mechanical engineering na Advanced certificate of secondary school in PCM. Vya ziada Nina uwezo wa kufundisha, kuchora kiasi na computer kidogo.

Jamani mwenye connection naombeni.
 
Tuna kazi mafundi ujenzi, kwa wasomi mkijifundisha mnaweza kushika position za juu baada ya muda si mrefu.

Piga 0625249605 Mzee Abdul Ghafur. Location ya mazi ni Kibaha, kwanza unaanza na mafunzoi ya mwezi mmoja.
 
Habarini wanajamiiforum mbele yenu ni kijana wa miaka 24 ninatafuta kazi kwa Sasa nipo dar. Elimu yangu ni NTA level 4 in mechanical engineering na Advanced certificate of secondary school in PCM. Vya ziada Nina uwezo wa kufundisha, kuchora kiasi na computer kidogo.

Jamani mwenye connection naombeni.

Njoo uongeze fani na wakati huohuo ufundishe unayoyajua: Fursa ni nyingi tatizo ni kuziona tu zipo wapi.

Back
Top Bottom