Mimi ni muhitimu was kidato cha sita masomo ya sanaa, kwa sasa najishughilisha na ufundi wa maji safi na taka majumbani (plumbing) ujuzi niliojifunza mtaani na mpaka sasa nina uzoefu wa miaka miwili.
Napatikana mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai ila popote nafika.
Ikiwa wahitaji huduma yangu wasiliana nami kupitia namba hii 0784455342
Napatikana mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai ila popote nafika.
Ikiwa wahitaji huduma yangu wasiliana nami kupitia namba hii 0784455342