Natafuta kazi ya uhasibu katika taasisi yoyote

Natafuta kazi ya uhasibu katika taasisi yoyote

T34 ASTROKID

New Member
Joined
Feb 3, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Habari,

Mimi ni kijana wa miaka 24 nimehitimu katika chuo cha uhasibu Dar es salaam kwa ngazi ya Degree (Degree in accountancy) kwa sasa napatikana Dar es Salaam. Natafuta kazi ya uhasibu katika taasisi yoyote.
 
Back
Top Bottom