D TARGET hebu rusha CV zako kwa email hii kuna mchongo mahali.
Ukishatuma ni PM
ramson.kayanda@gmail.com
dogo pole komaa utapata, ungekubali kipindi kile tunakuambia ukasomee ualimu, leo hii ungekuwa na kazi yakonzuri ya ualimu, si umeona wenzio wameajiriwa juzi tu...
Tatizo siyo mi kuto soma ualimu, tatizo langu ni kukosa Kazi. Walimu wenyewe wanavibarua kazi wameacha, si unaona watoto wanavyofail.
wife wangu kasema nikuambie uachane na mambo ya waalimu na uendelee na tatizo lako la kutafuta ajira. Ajira ikushinde, ya waalimu utayawezea wapi?
najivunia kazi yangu
ya uanamgambo,nakula vihela vya
wapika gongo kwa raha zangu sigombwi!
Ongera zako na Hela zako za watengeneza Gongo!
Hakuna tatizo lov sema nina wasiwasi na Jiwe linaloishi!
Mbona nipo humu muda tangu saa kumi na moja jioni? Ulikuwa wapi maana nimekutafuta sikuoni naona my dear!
pilika nyingi honey
ndio napumzika saa hizi!
jiwe hana shida bby nimempa zawadi yako akuletee!