Alfredy Angelo
Member
- Aug 23, 2019
- 5
- 10
Naitwa Alfredy Angelo natafuta kazi, nina ujuzi katika fani ya ujenzi. kama kujenga, kupiga plaster, kufitisha madirisha na flemu za milango asante. Napatikana Dar es salaam.
+255676237106
+255676237106