Natafuta kazi ya ukalimani wa Kichina

Hanjie

Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
40
Reaction score
17
Naomba kwa yeyote ambae ana taarifa au kusikia tarifa kampani ya Kichina ndani ya Tanzania hii wanatafuta mkalimani basi naomba a share na mm hizo taarifa.

Asanteni.
Nambari zangu ni 0626488282
Whatsapp +255779790006
Wechat+255626488282
 
Naomba kwa yeyote ambae ana taarifa au kusikia tarifa kampani ya Kichina ndani ya Tanzania hii wanatafuta mkalimani basi naomba a share na mm hizo taarifa.

Asanteni.
Nambari zangu ni 0626488282
Whatsapp +255779790006
Wechat+255626488282
Mbona kuna tangazo limezagaa sana majuzi hapa ulikuwa wapi?
 
Shukran kwa taarifa, nimeongea nae huyu Mchina lkn wameshapata mtu tyr,
 
Wanaongea hii lugha ni wengi saiz tangazo likizidi siku moja tu, unakuta mtu kapatikana tayari.
 
ongea kidogo basi mkurugenenzi tujiridhishe.
toa pole kwa msiba wetu huu
 
Embu andika kwa kichina kdg tujiridhishee
各位朋友们大家好
我是小哈从桑给巴尔岛
我曾经去过中国学中文了,在河南许昌学院学了两年的汉语,以前在做中文导游。
我在找工作,有听说招聘信息的朋友请告诉我
我的联系方式就在上面
谢谢大家。
 


一切顺利,上帝会帮助您。 萨利米亚桑给巴尔。
 
[emoji1548][emoji1536]

Jr[emoji769]
 
kumbe wewe ni ccm na shabiki wa jpm😆😆😆😒
 
一切顺利,上帝会帮助您。 萨利米亚桑给巴尔。
多谢朋友
habari za arsenal zinatoka wapi sasa wakuu
tayari mshaanza kuijadili hadi huku.😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…