Enter Passcode
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 479
- 942
Unamkumbuka Kasusura? Aliondoka na dollars 2M. Unajiongeza tuu umaskini kwisha.Acha kazi ya kimaskini hiyo, tafuta connection ya unga au robbery upige mshindo.
hahahaa wakati namaliza jkt yalikuwa mawazo yangu haya ila nashukuru ilikuwa tuu ni akili ya ujobles na hela sina, by ze way sikupata tuu connection[emoji1]Acha kazi ya kimaskini hiyo, tafuta connection ya unga au robbery upige mshindo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ulinzi wa rungu siyo mzuri mkuu
Niliwahi kupewa kazi ya ulinzi silaha nikapewa kirungu alafu usiku majambazi wakavamia na shoka
Lugha ;French (kawaida ),English na KiswahiliUngesema na lugha unazoongea meku
Asante chiefJKT mnafundishwa kutumia Rungu?
Nenda kampuni yoyote ya ulinzi utapata.
Usiogope kuanza mlinzi, wako wengi waliqnza kama walinzi leo ni watu wakubwa. Kikubwa usipoteze focus.
150k-250kUna ndoto za kuanza na mshahara kiasi gani?
Nenda kwenye makampuni ya ulinzi mbona wanaajiri na kufukuzwa Kila siku mfano G4s,
Mkuu,pote nmeshapeleka maombi, askari wanapokea alafu wanaweka juu ya meza wanakwambia messenger atakuja kuchukua bahasha yako ww nenda tu πππNenda kwenye makampuni ya ulinzi mbona wanaajiri na kufukuzwa Kila siku mfano G4s, Garda world nk
Usiweke getini walinzi wengi akili zao fyatu kutokana na kuathirika na kukesha usikuMkuu,pote nmeshapeleka maombi, askari wanapokea alafu wanaweka juu ya meza wanakwambia messenger atakuja kuchukua bahasha yako ww nenda tu πππ
Asante mkuuNenda kampuni hizi kubwa ukosi kazi, pia usisahahu malengo yako iyo sio kazi ela yote huishia kujitibu malaria kali ,