Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado unahitaji kazi?Habari wakuu,
Polen sana na majukumu nimekuja kwenu kwa mara nyingine tafuta kazi ya upishi. Mimi ni mpishi mzuri sana wa bites na chakula.
naomba unitumie maelezo kuonyesha uzoefu wako kupitia: whynotinn2021@gmail.com au whatsapp 0718003601Nmekuchek whatsap mkuu
nachoma nyama
Habari wakuu,
Polen sana na majukumu nimekuja kwenu kwa mara nyingine tafuta kazi ya upishi. Mimi ni mpishi mzuri sana wa bites na chakula.