Rajabu mjanga
New Member
- Aug 22, 2022
- 3
- 2
Kwema mkuu!kwangu nina kazi ya ujenzi njoo uanze kazi kesho, kwa kutwa posho ni 30,000 saidia fundi.
bado una uhitaji wa kazi?Habari,
Mimi ni kijana ninaumli wa miaka 23, ni mvulana kwa sasa naishi Zanzibar, ila nyumbani ni Dar es Salaaam, nimejifunza kazi ya upishi na ninauzoefu wa kupika tokea 2019 mpaka sasa 2022.
Najua kupika vyakula vya Indian food, Asia food, Americans food, tacos za Mexico na pasta za Italian, na pia najua kupika vyakula vya Tz, Kama wali, pila, nk,
Nilikuwa natafuta kazi ya upishi iwe napatika kwa namba +255628863418 🙏
naomba unitumie maelezo kuonyesha uzoefu wako kupitia: whynotinn2021@gmail.com au whatsapp 0718003601Nmekuchek whatsap mkuu
nachoma nyama