Natafuta kazi ya utendaji mtaa au kijiji

Natafuta kazi ya utendaji mtaa au kijiji

Leonce jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2023
Posts
1,815
Reaction score
2,651
Habari ya muda huu.

Natafuta kazi ya afisa mtendaji mtaa au kijiji popote nchini nina cheti cha form four na form six.
 
Kasomee kijana ,alafu uje ulingoni kupambania kombe,hiyo kazi sikuhizi haupewi tu unatakiwa uwe na Cheti chake,maana watu sikuhizi wanatumia utendaji km njia ya kupitia kuingia serikalini zen badae wanaenda kusoma au wanatoa magamba yao ya bachelor,kwahiyo gem limekuwa gum Sana
 
Nenda hombolo bwa shehe, wanatoa hiyo kozi ya Mambo ya serikali za mtaa, na ajira zikitokaga za Mambo hayo wanapewa kipaumbele waliotoka hombolo.
 
Back
Top Bottom