Natafuta kazi ya Utunzaji Kumbukumbu, nina uzoefu wa miaka 3

Rahky

Member
Joined
Apr 8, 2023
Posts
8
Reaction score
3
Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu.

Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo.

Mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari.
 
Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu, Nina diploma ya utunzaji kumbukumbu niliyopata katika chuo cha utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari
Angalia website ya ajira yako au mabumbe.com brela watangaza nafasi za kazi huko
 
BRELA wamemwaga nafasi huko, kama huna account ajira portal fanya usajil cha ujaribu bahati yako
 
Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu, Nina diploma ya utunzaji kumbukumbu niliyopata katika chuo cha utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari

Sasa unatunzaje kumbukumbu? Si uwa tu na save kumbukumbu kwenye hard disk?
 
Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu.

Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo.

Mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari.
Watanzania na kutunza kumbukumbu wapi na wapi? Halafu kumbukumbu gani kwanza?
 
Back
Top Bottom