Natafuta kazi ya Utunzaji Kumbukumbu, nina uzoefu wa miaka 3

Rahky

Member
Joined
Apr 8, 2023
Posts
8
Reaction score
3
Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu.

Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo.

Mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari.
 
Angalia website ya ajira yako au mabumbe.com brela watangaza nafasi za kazi huko
 
BRELA wamemwaga nafasi huko, kama huna account ajira portal fanya usajil cha ujaribu bahati yako
 

Sasa unatunzaje kumbukumbu? Si uwa tu na save kumbukumbu kwenye hard disk?
 
Za kuhamia zipo na za muda mfupi/mkataba pia zipo nafasi 50.
Ajira za muda mfupi nazo ni changamoto kwasisi walala hoi, kurudi mtaani ni changamoto baada ya mkataba kuisha muda wake.
 
Watanzania na kutunza kumbukumbu wapi na wapi? Halafu kumbukumbu gani kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…