Thread tamu Kama hizi ndo nazitafutagaNatafuta kuwa winga wa simu mpya, kama unamiliki duka la kuuza simu mpya aina zote naomba kazi dukani kwako.
Sitaki uniajiri, ila utaniuzia simu kwa bei ya jumla ili na mimi nipate chochote. Mimi nitapambana kutafuta wateja ninakojua mimi. Simu zako ziwe bei kitonga kweli ili zitoke haraka.
Natanguliza shukrani.
0752042670
halafu hazina wachangiaji wakat.humu mawinga kibaoThread tamu Kama hizi ndo nazitafutaga
Ni kweli watu hawataki kutoa michongohalafu hazina wachangiaji wakat.humu mawinga kibao