Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaanzishe shule acha uzembe akiri kumkichwa utakuw mwajiriwa mpaka lini kwa akiri yako hapa unawaza wapi utapata mtajia kujenga majengo na kuajili walimu wenzako.....! nitafute nikupe akiri kama hutajali 0784321716 or 0719666099

daaa ndio maana jf nijukwaa lenyeheshima sana nakutegemewa naidara mblmbl zaserikali kujipatia habari nashukuruni kumjib jamaa aliesema nianzishe shule japo sio wazo baya!nita anzisha mfuko ukiniruhusu kufanya hivyo...
yeye kaxema anataka kuajiriwa co kuanzsha xcul,we ambaye unayo hyo akil unamilik xcul gan
amesema kamaliza chuo mwaka huu,nijuavyo mtu akimaliza chuo hua hana aset yeyote zaidi ya sim yake,laptop,viatu na pea kadhaa za jeanz!!
Sasa hiyo pesa ya kuanzisha shule yake anaitoa wapi???labda ungeeleza hapa namna ya kufungua shule just after graduating with no even pesa ya vocha ili watanzania wengi zaidi wanufaike na maujanja yako mkuu!!