Natafuta kazi yeyote nina elimu ya Kidato cha Nne

Natafuta kazi yeyote nina elimu ya Kidato cha Nne

fanako

Member
Joined
Oct 28, 2022
Posts
22
Reaction score
20
JAMANI wapendwa mimi ni nijana Mtanzania nina miaka 24 ninatafta kazi yeyote ilio halali jamani. Asanteni
 
Wewe ni Kenyan acha uongo. Elimu ya kidato cha nne Tanzania bila ufundi au elimu ya nyongeza hupati kazi. Wasomi Tz wamejaa na ma phd yao na hawana kazi.
 
Back
Top Bottom