fanako Member Joined Oct 28, 2022 Posts 22 Reaction score 20 Nov 5, 2022 #1 JAMANI wapendwa mimi ni nijana Mtanzania nina miaka 24 ninatafta kazi yeyote ilio halali jamani. Asanteni
JAMANI wapendwa mimi ni nijana Mtanzania nina miaka 24 ninatafta kazi yeyote ilio halali jamani. Asanteni
Equitable JF-Expert Member Joined Dec 24, 2021 Posts 2,017 Reaction score 5,462 Nov 8, 2022 #2 Wewe ni Kenyan acha uongo. Elimu ya kidato cha nne Tanzania bila ufundi au elimu ya nyongeza hupati kazi. Wasomi Tz wamejaa na ma phd yao na hawana kazi.
Wewe ni Kenyan acha uongo. Elimu ya kidato cha nne Tanzania bila ufundi au elimu ya nyongeza hupati kazi. Wasomi Tz wamejaa na ma phd yao na hawana kazi.