busarakumkichwa
Member
- Jul 20, 2024
- 46
- 49
Mimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli, nikapata kazi kwenye restaurant ya bungeni mshahara laki 2 kwa mwezi lakini si kazi ya kudumu bunge likifungwaa na kazi nayo hamna hata miezi miwili. sasa natafuta kazi ambayo nitafanya kila siku mshahara kwa mwezi uwe 300000 au 10000 kwa siku, kazi yeyote ya halali hata manual work. Nipo Dodoma namba yangu 0694662625