Natafuta kazi yoyote au ufadhili wa masomo

Joined
Dec 19, 2021
Posts
6
Reaction score
2
Mimi nina umri wa miaka 23 mwanafunzi wa udaktari mwaka wa pili
Nipo dar-es-salaam
Nimepitia jkt
Nina ufaulu wa division I-9
Niko pia vizuri kwenye kutumia computer
Nilikua naomba kazi yoyote itakayoniingizia pesa maana maisha yamekuwa magumu nimesimama masomo na pia changamoto ya ada imenikumba kama pia nitapata udhamini wa masomo nitashukuru s
 
HYKUPATAVMKOPO? CHUO GANI? VIPI HUWEZI KUFUMDISHA SEKONDARI? OMBA MDA WA KUONna na mo dewji, au ingia Mo Scholarship online pitia
Mimi nina umri wa miaka 23 mwanafunzi wa udaktari mwaka wa pili
Nipo dar-es-salaam
Nimepitia jkt
Nina ufaulu wa division I-9
Niko pia vizuri kwenye kutumia computer
Nilikua naomba kazi yoyote itakayoniingizia pesa maana maisha yamekuwa magumu nimesimama masomo na pia changamoto ya ada imenikumba kama pia nitapata udhamini wa masomo nitashukuru s
 
Mimi nina umri wa miaka 23 mwanafunzi wa udaktari mwaka wa pili
Nipo dar-es-salaam
Nimepitia jkt
Nina ufaulu wa division I-9
Niko pia vizuri kwenye kutumia computer
Nilikua naomba kazi yoyote itakayoniingizia pesa maana maisha yamekuwa magumu nimesimama masomo na pia changamoto ya ada imenikumba kama pia nitapata udhamini wa masomo nitashukuru s

Kama Ni kweli unayoyasema hapa, andika andiko lako fupi, weKa na support docs, pdf the document and email to big companies eg Mo! Utafanikiwa.
 
Medicine halafu ukakosa mkopo?
Ebu kuwa mkweli dogo,sio kwamba ulidisco?
Nilipata md lakin private st.joseph university cha boko magengeni Dar es Salaam sasa nilikua niko sponsored na mtu ila kasitisha kwahivyo imenibid nisimame sija disco wala sijawah pata sup mpk nafika huo mwaka wa pili
 
Mh mh mh st.joseph wanatoa MD.???????????????
 
Back
Top Bottom