einstein tesla
Member
- Dec 19, 2021
- 6
- 2
Mimi nina umri wa miaka 23 mwanafunzi wa udaktari mwaka wa pili
Nipo dar-es-salaam
Nimepitia jkt
Nina ufaulu wa division I-9
Niko pia vizuri kwenye kutumia computer
Nilikua naomba kazi yoyote itakayoniingizia pesa maana maisha yamekuwa magumu nimesimama masomo na pia changamoto ya ada imenikumba kama pia nitapata udhamini wa masomo nitashukuru s

Hiyo kazi huyu dogo anaiweza..udaktari wa diploma uliusikia wapi?😁😁unaweza utapeli kijana
Sawa nitajaribu kufuatiliaHYKUPATAVMKOPO? CHUO GANI? VIPI HUWEZI KUFUMDISHA SEKONDARI? OMBA MDA WA KUONna na mo dewji, au ingia Mo Scholarship online pitia
Nilikua bachelor of medical doctor mwaka wa piliHiyo kazi huyu dogo anaiweza..udaktari wa diploma uliusikia wapi?😁😁
Ahsant ngoja nizifuatilieKama Ni kweli unayoyasema hapa, andika andiko lako fupi, weKa na support docs, pdf the document and email to big companies eg Mo! Utafanikiwa.
Nilikua bachelor of medical doctor mwaka wa pili
Medicine halafu ukakosa mkopo?Nilikua bachelor of medical doctor mwaka wa pili
Nilipata md lakin private st.joseph university cha boko magengeni Dar es Salaam sasa nilikua niko sponsored na mtu ila kasitisha kwahivyo imenibid nisimame sija disco wala sijawah pata sup mpk nafika huo mwaka wa piliMedicine halafu ukakosa mkopo?
Ebu kuwa mkweli dogo,sio kwamba ulidisco?
Nilipata md lakin private st.joseph university cha boko magengeni Dar es Salaam sasa nilikua niko sponsored na mtu ila kasitisha kwahivyo imenibid nisimame sija disco wala sijawah pata sup mpk nafika huo mwaka wa pili

Ebu nicheki pm ili tuulizane na kuelekezana zaidi!