Natafuta kazi yoyote, elimu yangu ni Form Four

Nimekutumia sms pm kuhusu kazi iliyopo na utaratibu lakini hujanipa jibu maana nime kwambia Kuna kazi ya sales and marketing lakini hujatoa jibu lolote kama huwezi,
Edit post yako uelezee kazi gani unayo taka si hivyo ulivo sema kuwa Kazi yoyote elezea na uzoefu wako unao katika kazi gani maana inaonesha una hitaji upate baadhi ya kazi tu na kama una taka ya kukaa ofisini elezea ni kitengo gani una uzoefu nacho hapa kuna watu wana makampuni yao lakini hawezi kukupa kazi mtu kwa kukusaidia hitaji lako tu kisa una taka kazi ili utatue changamoto zako nayeye ana angalia utasaidia vipi kampuni yake kwenda mbele.
 
Mkuu kampuni gani na inapatikana wapi? Tuweke tu wazi wahanga ni wengi
 
Nimekutumia sms pm kuhusu kazi iliyopo na utaratibu lakini hujanipa jibu maana nime kwambia Kuna kazi ya sales and marketing lakini hujatoa jibu lolote kama huwezi,
Edit post yako uelezee kazi gani unayo taka si hivyo ulivo sema kuwa Kazi yoyote elezea na uzoefu wako unao katika kazi gani maana inaonesha una hitaji upate baadhi ya kazi tu na kama una taka ya kukaa ofisini elezea ni kitengo gani una uzoefu nacho hapa kuna watu wana makampuni yao lakini hawezi kukupa kazi mtu kwa kukusaidia hitaji lako tu kisa una taka kazi ili utatue changamoto zako nayeye ana angalia utasaidia vipi kampuni yake kwenda mbele.
Mkuu una nafasi za kazi gani kwenye kampuni yako? Wasaka ajira tupo wengi humu
 
Nimekutumia sms pm kuhusu kazi iliyopo na utaratibu lakini hujanipa jibu maana nime kwambia Kuna kazi ya sales and marketing lakini hujatoa jibu lolote kama huwezi,
Edit post yako uelezee kazi gani unayo taka si hivyo ulivo sema kuwa Kazi yoyote elezea na uzoefu wako unao katika kazi gani maana inaonesha una hitaji upate baadhi ya kazi tu na kama una taka ya kukaa ofisini elezea ni kitengo gani una uzoefu nacho hapa kuna watu wana makampuni yao lakini hawezi kukupa kazi mtu kwa kukusaidia hitaji lako tu kisa una taka kazi ili utatue changamoto zako nayeye ana angalia utasaidia vipi kampuni yake kwenda mbele.
mkuu mm npo tyl,elimu yang ni form 4,uzoefu nilinao nilishafanya kazi kweny kampuni ya pushsky nikuwa kama CUSTOMER SERVICE OFFICER nlifany kwa miaka 3.
 
Back
Top Bottom