Natafuta kazi yoyote halali. Niko Dar es Salaam

Natafuta kazi yoyote halali. Niko Dar es Salaam

idrisa abd

Member
Joined
Dec 27, 2023
Posts
7
Reaction score
4
Mimi NI kijana wa miaka 23
Nahitaji kazi yoyote halali either ya nguvu au akili au zote kwa pamoja nimemaliz form four na nikisoma diploma miaka 2 wa tatu nimeshindwa kutoka na changamoto za ada hivyo nimeipata certificate course insurance and Risk management
Na Nina uzoefu wa kuuza Duka kwa miaka 4 hivyo Niko vizuri kwenye manunuzi na uuzaji bidhaa
Naomba msaada wenu
0622998765
 
Back
Top Bottom