P PHK New Member Joined Jul 12, 2019 Posts 3 Reaction score 1 Oct 19, 2021 #1 Habari mkuu! Za hukoo; Mimi nikijana wa miaka 23, naishi Dar es salaam, elimu yangu ni form six nilikuwa naomba msaada wa kazi kwako, nikusaidie katika kazi zako. Mungu akubariki
Habari mkuu! Za hukoo; Mimi nikijana wa miaka 23, naishi Dar es salaam, elimu yangu ni form six nilikuwa naomba msaada wa kazi kwako, nikusaidie katika kazi zako. Mungu akubariki
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 11,931 Reaction score 15,849 Oct 19, 2021 #2 Chuo vipi,huna vigezo vya kujiunga au?
Pile F Senior Member Joined Aug 15, 2020 Posts 121 Reaction score 170 Oct 19, 2021 #3 tang'ana said: Chuo vipi,huna vigezo vya kujiunga au? Click to expand... Anatafuta kazi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 19, 2021 #4 KIla la kheri...
Keco Group ltd Member Joined Oct 3, 2020 Posts 13 Reaction score 2 Dec 28, 2021 #5 TUWASILIANE KUHUSU KAZI 0769160000
Maji Chai JF-Expert Member Joined Dec 8, 2018 Posts 265 Reaction score 362 Dec 29, 2021 #6 Keco Group ltd said: TUWASILIANE KUHUSU KAZI 0769160000 Click to expand... Vipi nafasi ni chache au na sisi tutume maombi Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Keco Group ltd said: TUWASILIANE KUHUSU KAZI 0769160000 Click to expand... Vipi nafasi ni chache au na sisi tutume maombi Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app